Changia Maendeleo ya Jamii (Donate)
Mchango Wako Unabadilisha Maisha
Kila mchango unaotoa unasaidia kutoa elimu, mafunzo ya kilimo endelevu, na kuwawezesha vijana wa Afrika kujenga mustakabali bora.
Chagua Njia ya Malipo
Chagua mtandao wa simu, benki au kadi unayotaka kutumia
Vodacom M-Pesa Lipa Namba
5566778
Jina la Akaunti: EYEA Foundation
Aina ya Malipo: Lipa kwa Simu / M-Pesa
Maelekezo ya Kufanya Malipo (Step-by-Step Instructions)
1
Piga Menyu ya Mtandao
Piga *150*00# (M-Pesa), *150*01# (Tigo), au *150*60# (Airtel).
2
Chagua Lipa kwa Simu
Weka Lipa Namba uliyoichagua hapo juu na weka kiasi unachotaka kuchangia.
3
Thibitisha na Jaza Fomu
Weka PIN kukamilisha. Baada ya kupokea ujumbe wa muamala, jaza fomu iliyopo pembeni kuthibitisha.
Ujumbe Muhimu (Important Note):
Tafadhali tumia jina lako au namba ya simu kama kumbukumbu (Reference) ya malipo wakati wa kutuma mchango wako.